AfyaFahamu namna ya kujenga uelewa kuhusu kuzuwia kujitoa UhaiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAmina Abubakar01.10.20241 Oktoba 2024Kulingana na takwimu za shirika la afya ulimwenguni WHO, zaidi ya watu laki saba hukatisha uhai wao kila mwaka kwa kudhamiria. Je ni nini hasa kinamfanya mtu kujitoa uhai, Makala ya Afya yako inafafanua hilo. Mtayarishaji ni Amina Abubakar.https://p.dw.com/p/4lHXYMatangazo