1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dunia yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike

11 Oktoba 2021

Leo dunia inaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike.Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu wa 2021 inasema ''Kizazi cha Kidijitali, Kizazi Chetu.'' Ili kufahamu zaidi umuhimu wa siku hii na namna sauti ya mtoto wa kike inavyoweza kusikika, Grace Kabogo anazungumza na Sawiche Wamunza, Mkuu wa kitengo cha habari cha Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa,UNDP nchini Tanzania.👇

https://p.dw.com/p/41XKa