1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za usalama kwenye mgodi wa North Mara

Deo Kaji Makomba12 Juni 2024

Katika Makala Yetu Leo, wiki hii , tunaangazia uvamizi wa baadhi ya vijana katika maeneo yanayozunguka mgodi wa dhahabu wa North Mara uliyopo Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara, ili kuchukua mawe yanayodhaniwa kuwa na dhahabu kwa ajili ya kujipatia kipato. Deo Kaji Makomba ndio mwenyeji wako.

https://p.dw.com/p/4gxc6