Katika Makala Yetu Leo ambapo mwenyeji wako ni Prosper Kwigize, tunaperuzi kwa kina kuhusu changamoto ambazo wakulima wanakabiliana nazo katika kupata mbolea yenye bei ya ruzuku na namna serikali ya Tanzania inavyoshughulikia malalamiko ya wakulima, huku kukiwa na tuhuma rukuki za rushwa na utoroshaji wa pembejeo.