SiasaChama kikuu cha upinzani Tanzania chajiondoa katika uchaguzi wa serikali za mitaaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa08.11.20198 Novemba 2019Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kimetangaza kujitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Lakini vyama vingine 11 vya upinzani vimesema vitashiriki uchaguzi huo. Chadema kinadai kutotendewa haki. Yakub Talib na maelezo zaidi.https://p.dw.com/p/3Si5dMatangazo