1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA yaweka sawa taarifa ya maandamano

20 Septemba 2024

Kufuatia kubaini ukosefu wa usahihi kwenye ripoti yetu ya Alkhamis (Septemba 19) kwa kauli iliyosikika kutolewa na mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania, Freeman Mbowe, kuhusu maandamano yaliyoitishwa juu ya matukio ya utekaji na mauaji yaliolikumba taifa hilo katika siku za karibuni, DW imezungumza na Mkurugenzi wa Habari na Mambo ya Nje wa chama hicho, John Mrema.

https://p.dw.com/p/4kuFb