1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Angola yafunga mpaka wake na DRC

9 Januari 2009

Kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusababisha vifo kadhaa, nchi jirani ya Angola imeamua kufunga mipaka yake, lengo likiwa kuzuia ugonjwa huo usiingie nchini humo.

https://p.dw.com/p/GUyT
Ndugu wa wagonjwa walioambukizwa virusi vya Ebola wakijikinga ili kutoambukizwa ugonjwa huo.Picha: AP

Katika kufuatilia suala hilo Grace Kabogo alizungumza na Waziri wa Afya wa Kongo, Mwami Aujuste Mopiti na yeye alianza kwa kumueleza idadi ya watu waliokufa kutokana na ugonjwa huo hadi sasa.