Hii ni baada ya matokeo ya kushangaza ya uchaguzi ambayo yalivunja udhibiti wa miaka 58 wa chama tawala madarakani. Mwanasiasa mkongwe Mokgweetsi Masisi, mwenye umri wa miaka 63, ametangaza leo kuwa atakabidhi madaraka kwa mwanasheria wa haki za binaadamu Duma Boko mwenye umri wa miaka 54.