1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adhabu ya Viboko kwa wanafunzi Tanzania bado ni gumzo

Lillian Mtono31 Januari 2023

Hivi karibuni nchini Tanzania kulizuka mjadala kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi. Katika Kinagaubaga, Lilian Mtono amemkaribisha Mwalimu Hamis Lissu ambaye ni Katibu wa chama cha walimu katika eneo la Shinyanga vijijini. Sikiliza mahojiano hayo.

https://p.dw.com/p/4MvM0