Rais wa Marekani na mwenzake wa Urusi wanakutana leo kwa mazungumzo mjini Geneva.
Walowezi wa kiyahudi wamefanya maandamano mjini Jerusalem yaliyolaaniwa na Wapalestina.
Ufaransa imeibamiza Ujerumani bao moja kwa bila katika mchezo wa mashindano ya kandanda barani Ulaya.