Viongozi wa nchi 5 za Ulaya wametoa wito wa kufanyika mjadala kuhusu mgawanyo wa chanjo ya virusi vya corona.
Visa vya maambukizi ya virusi vya corona vyaendelea kuongezeka nchini Ujerumani.
Serikali ya Afghanistan yasema itahudhuria mazungumzo ya kusaka amani nchini Urusi na Uturuki.