Viongozi wa Umoja wa Ulaya wafikia muafaka kuhusu bajeti na mpango wa uokozi wa kanda hiyo.
Waziri Mkuu wa Uingereza amesema majadiliano na Umoja wa Ulaya yanaweza kumalizika bila ya kuwa na mkataba.
Israel imefikia makubaliano ya kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na Morocco.