1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

06.11.2024: Taarifa ya habari za asubuhi

6 Novemba 2024

Shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi wa urais nchini Marekani inaendelea, waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amfuta kazi waziri wake wa ulinzi Yoav Gallant na nchi za G7 pamoja na nyingine zalaani ushirikiano wa kijeshi wa Korea Kaskazini na Urusi

https://p.dw.com/p/4mg0m