1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

05.11.2024 : Taarifa ya habari za asubuhi

5 Novemba 2024

Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky aonya wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini tayari wako katika eneo la Kursk nchini Urusi, wagombea wa uchaguzi wa urais nchini Marekani wafanya kampeini zao za mwisho za uchaguzi Pennsylvania na kitengo cha kufuatilia makubaliano ya kusitisha vita Kongo kuanza kuhudumu Jumanne

https://p.dw.com/p/4mbaq